Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 22
Asante mkuu.Nimesikia BBC jioni hii, Inaonekana zina ukweli.
Eastleigh ni kama Somalia, fujo, silaha ziko nje nje na ni khatari tupu.
Polisi wamefany move nzuri kama kuna wahamiaji haramu warudishwe kwao au wawekwe kwenye makambi ya wakimbizi ili wasaidiwena huko
Hizi habari kwamba askari wa Kenya wanapitisha msako kuwakamata watu wa asili ya kisomali walioko Kenya zina ukweli gani?
Inasemekana watu kama 300 wameshakamatwa jijini Nairobi.
Tujuzeni ukweli.
Wasomali wanashindwa kushukuru serikali ya kenya kwa kuwahifadhi na badala yake wanachochea gasia za udini kwa kisingizio cha kutaka gaidi aachiwe huru.
Wengi walioshiriki maandamano walikuwa wamebeba bendera za al-shabab kuonyesha kuwa hawa wasomali wanaunga mkono terrorism
Should Amerca help?we must root out Alshabaab sympathisers,financiers and of coz pirates