Hawa jamaa ni too much kabisa...kero, subiri tujenge ukuta kama USA...Mimi nilijua wameishinda kiuchumi wacha nikodolee macho huu Uzi.Hata hivyo hongereni majirani zetu!
Barabara za Dar zimewashinda kujenga sembuse kuta pale mipakani za kuwazuia omba omba wenu kuingia Kenya?Hawa jamaa ni too much kabisa...kero, subiri tujenge ukuta kama USA...
When was the last time you came Dar?Barabara za Dar zimewashinda kujenga sembuse kuta pale mipakani za kuwazuia omba omba wenu kuingia Kenya?
Kwa hyo unataka kusemajeWhen was the last time you came Dar?
Njoo uone mambo nyang'au, waulize wenzako waliokuja, hasa wale waliokimbia wakati wa uchaguzi, Dar is becoming wewe...
Hawa jamaa ni too much kabisa...kero, subiri tujenge ukuta kama USA...
tutawauzia simiti alafu mkikamilisha tuje tujenge ngaziHawa jamaa ni too much kabisa...kero, subiri tujenge ukuta kama USA...