Kenya ya tatu Afrika kwa kuwa tayari kithibiti majanga ya aina yoyote

Kafrican

JF-Expert Member
Jan 26, 2015
7,212
6,972
Leo hii, lete mlipuko wa Ebola, Uchumi wa dunia kuanguka, Ugaidi, majanga ya mazingira.... Kenya iko tayari kupambana nayo kuliko nchi nyingi Africa
-----------------------------------------
The 2019 Change Readiness Index (CRI) indicates the capability of a country – its government, private and public enterprises, people and wider civil society – to anticipate, prepare for, manage, and respond to a wide range of change drivers, proactively cultivating the resulting opportunities and mitigating potential negative impacts. Examples of change include:

  • shocks such as financial and social instability and natural disasters
  • political and economic opportunities and risks such as technology, competition, and changes in government.
Since 2012, the CRI has evolved to become a key tool that provides reliable, independent, and robust information to support the work of governments, civil society institutions, businesses, and the international development community.

In this year's report, we have chosen to take a closer look at one of the major risks facing future generations: climate change. Like all complex problems, there is no single, simple solution to ensure a climate-ready future. In the 2019 CRI report, we highlight the capabilities needed to mitigate and adapt to climate risks, speed up innovation in sustainable energy, and enable more effective roles for governments and civil society

-------------------------------

Kenya ranked third in Africa change index

Kenya has been ranked third in Africa and 59 globally in a study on readiness for change in terms of ability to manage risks that come with shocks such as natural disasters, financial or social stability.
The other risks contemplated under the ranking, carried out by audit and financial advisory firm KPMG, are economic and political opportunities as well as changes in demographics, technology and government.
In Africa only Mauritius and Namibia are ahead of Kenya in the ranking. Other countries that are in the top 10 in Africa in the roll are Morocco, Tunisia, Rwanda, Ghana, Botswana, Egypt and Cote d’Ivoire. Globally the countries in the index that lead are mainly in Europe, indicating that they are the best in being ready for risks involved in change.
The overall ranking index combines an index of enterprise, government, and people and civil society. KPMG says the index can be used to inform investment decisions by highlighting the strengths and weaknesses of target countries.
“A wide range of organisations can apply the data and insights from the CRI (change ready index to inform investment decisions by highlighting the strengths and weaknesses of target countries; improve government policy by benchmarking national strengths and weaknesses and identifying areas in need of reform,” the report says.
 
Anzeni na njaa kwanza, au sio janga ni sehemu ya maisha yenu?.
In your face nigga, maana ya speed tape nikama hujawaii skia
FB_IMG_1568295466324.jpeg
 
Hii najua ni habari mbaya sana kwako. Hatujalipa hawa majamaa walioandika hii ripoti. Hata hatuwajui. Lakini najua huwezi tuambia hongera.
Ninadhani unafahamu tatizo langu kwa Kenya, tatizo hamjipangi na hamna kitu kinachoitwa vipaumbele muhimu. Hivi mtafurahia ripoti kama hii wakati, 1)Njaa, 2)Terrorist attacks, 3) Cholera outbreaks, 4)ukame, 5)Flood vinasumbua Kenya Mara kwa Mara?
 
Ukiangalia ripoti wanasema terrorist attack tuko ready kupambana nayo na ni kweli. Tuna experience ya kupasua vichwa vya Shabab na ndio maana hawaji Nairobi sana kama zamani. Nchi chache Afrika zina experience kama ya Kenya ya kupasua vichwa vya terrorists.
 
Kitu ambacho hii ripoti inaonyesha ni kwamba kama Tanzania wangekua a shida zile zinazoikumba Kenya, Wangekua hali mbaya zaidi.... Yani bila vita, bila Ukabila, bila kiangazi, jamaa bado wako LDC miaka hii yote!!!!
 
Mmelichukulia hatua swala la utekaji....sorry nimesahau...hamuwezi chukua hatua kisa majamaa wanajiteka wenyewe...so ile siku wataanza kutekwa ndio mtachukua hatua...nynyi mna wapelelezi wazuri bana..
Ninadhani unafahamu tatizo langu kwa Kenya, tatizo hamjipangi na hamna kitu kinachoitwa vipaumbele muhimu. Hivi mtafurahia ripoti kama hii wakati, 1)Njaa, 2)Terrorist attacks, 3) Cholera outbreaks, 4)ukame, 5)Flood vinasumbua Kenya Mara kwa Mara?
 
Duh!!umeua...kisha watanzania huogopa vita kinoma...ukianza kueneza ishu za vita jamaa watakuvamia na wimbo wa amani na ujamaa...

Back
Top Bottom