Uwe unatulia na kusoma taarifa kwanza na kuzielewa kabla ya kuingiwa na mihemko ya kuzileta humu, nimejifunza msamiati mpya kujifumza, nilifikiria umekosea kwenye title, lakini baada ya wewe kulirudia nikaona kumbe hilo neno unalo kwenye kamusi yako.
Anyway, hao Wakenya naona kama wametaka kuharibu hela yao bure maana mfumo wa kutumia kinyesi cha binadamu kutengeneza nishati tayari upo Kenya na unatumika kwenye mitaa kadhaa.
Na pia uchakatwaji wa maji taka ni jambo la kawaida sana huku
Water purification machine stirs town : The Standard