Huyu Dada wa pembeni kutoka Kenya akustahiri kufika katika top ten
Tehehehee.... Kwisha nyie Kumbe you are this ugly... You didn't even make the Top 20Kwa akili zenu na matarumbeta yenu mnadhani sie hatukufika huko? Tena wetu alipata kabisa Continental Queen of Africa makatuni yenu hayana madhara
Mnajuana kwani nani asiejua huu ukanda wanaongoza akina nani kwa sura za kina faru johnTehehehee.... Kwisha nyie Kumbe you are this ugly... You didn't even make the Top 20
Mnajuana kwani nani asiejua huu ukanda wanaongoza akina nani kwa sura za kina faru john
Mimi naona huyo dada ndo mzuri kuliko walio mzunguka pembeniHuyu Dada wa pembeni kutoka Kenya akustahiri kufika katika top ten
Mkuu mbona miss Tanzania yupo natural hata nywele hajaweka dawa na hajichubui.Mnafikiri wazungu hawajui kilicho asili?....wengi wenyu humo tanganyika mnajichubua, meaning you are fake.
Kinachoangaliwa ni UASILIA WA MTU, UKUBWA WA AKILI...BONGO...BONGO..BONGO....
Hata nikimtazama dada huyu urefu na mpangilio wa mifupa (body frame)upo imara, wengi wenyu wabongo wafupi kama MBILIKIMO WA KONGO, mikorogo,kujichubua,kichwani kweupe,wapi na wapi?
Kumbuka yule dada wa kinijeria aliyeshinda miss world zma zile...(AGBANI DAREGO)..tena alikua mweusi kama cchokoleti, rangi tamu na dimu inayoashiria UAFRIKA.
Hongera zake dada wa kikenya, umeiwakilisha Afrika ulipofika hapo.
Huyu Dada wa pembeni kutoka Kenya akustahiri kufika katika top ten
Khaa hadi mambo ya wanawake mnaleta league? Sasa Ethiopia ipo east Africa tangu lini...kama si Kenya na Ethiopia sijui nani angekuwa anaiwakilisha eastafrica, wenzetu hua wako usingizi wa pono, kazi ni kulalama kila siku wakijiona bora, ilhali hakuna wanapo ipeperusha bendera ya Africa, sio kwa michezo, ubunifu wala chochote... bure kabisa.
Khaa hadi mambo ya wanawake mnaleta league? Sasa Ethiopia ipo east Africa tangu lini...
Khaa hadi mambo ya wanawake mnaleta league? Sasa Ethiopia ipo east Africa tangu lini...
Huyu Dada wa pembeni kutoka Kenya akustahiri kufika katika top ten
Huku ndo mtakuja penda usipende afadhali ya sie tunafanya yetu nyie kila siku kazi kuchungulia vinavyoendelea huku rudi tu nanyuki ya huku huyaweziWabongo full majungu hata kwa wanawake, nyie mlirogwa zamani na hamna dawa.
Ndio maana hata Mdee anawaita vidume suruali kwenye wimbo wake...