Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Ubalozi wa Tanzania Nairobi umekamilisha utaratibu wa kuwarudisha hawa Watanzania nyumbani? Je waliwezaje kwenda Kenya na kuvuka mpaka bila kuwa na fweza za kutosha? Idara ya Uhamiaji inafanya nini kuthibiti mipaka yetu na nchi zote jirani?
Mkuu si unaona walilipiwa nauli na ndugu zao, isitoshe hao ndugu zao wenda walilipa fedha zingine za ziada jamaa ndo kazitapeli, sema wakenya wameogopa kuandika jamaa alitokemea na fedha za walemavu.
Hai ingii akili kwamba jamaa awachukue tu akawatelekeze huko, labda kama alikuwa na mpango wa kuwala nyama.
tukifikiri kwa undani ni kuwa hawa jamaa walilazimika kuomba msaada kwa wakenya baada ya kushindwa kupata usaidzi Tanzania.
ikiwa hata walemavu Tanzania hawana msaada, nchi hii ina faida gani kwetu?