Ukisoma vizuri utajua ya kwamba huyo jama yuko hapo on temporary basis hadi wapate mtu atakaye endelea kuongoza safaricom.
CEO wa vodacom ametoka Misri does that mean kati ya watz milioni 59 hakuna hata mmoja anayeweza ongoza hio kampuni? Kaa chini na uwache kupayuka payuka.