Baada ya kumaliza Phase 1, ni wakati wa kufuatilia phase 2 of the SGR project. Kwa wale mlio na picha na video, na facts, naomba mlete kwenye uzi huu ili tuweze kufuatilia kama tulivyofuatialia Phase 1.
Vipi Kisumu, inafika lini? Au huko siyo Kenya?
I see!!! Dar mpaka Moro imefika kilomita ngapi sasa?Tutafika Rwanda and UG sooner than you guys,Ni hesabu tu na common sense inaonesha hivyo plus geography
Up and running, bado km miezi 20 mkuuI see!!! Dar mpaka Moro imefika kilomita ngapi sasa?
uzi wake uko wapi nione progress yakeUp and running, bado km miezi 20 mkuu
Unaweza shangaa mpaka ujenzi unaisha bila kuona uzi!uzi wake uko wapi nione progress yake
keep living in your utopian fantasies...Unaweza shangaa mpaka ujenzi unaisha bila kuona uzi!
tz sio watu wa show off
Hamna kitu pale usituone wajingaUnaweza shangaa mpaka ujenzi unaisha bila kuona uzi!
tz sio watu wa show off
Hivi wakenya na ile aircraft carrier ya KDF mlonunua inafika lini
Hivi wakenya na ile aircraft carrier ya KDF mlonunua inafika lini
Vipi Kisumu, inafika lini? Au huko siyo Kenya?
hehehe,danganyika utopian land😀Up and running, bado km miezi 20 mkuu