KENYA: Raia wa China wakamatwa kwa kuendesha kiwanda cha kuchakata gongo(Chang'aa)

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Tanks.jpg

Kwa mujibu wa Kamanda wa eneo la Athi River kilikokutwa kiwanda hicho, OCPD Samuel Mkuusi amesema wanawashikiliwa raia hao kwa mahojiano

Kiwanda bubu hicho kilikuwa kwenye nyumba za kupanga zinazojulikana kama Green Park

Uchunguzi ukikamilika Wachina hao watafikishwa Mahakamani kujibu tuhuma zinazowakabili

====

According to area OCPD Samuel Mkuusi, the two were arrested in a house at Green Park estate in Athi River.

They are currently being held at Athi River police station awaiting to be arraigned in court.

changaa.jpg
changaa-2.jpg
Machine.jpg
 
Back
Top Bottom