Moshe Dayan
JF-Expert Member
- Feb 10, 2008
- 815
- 710
Wewe unajua unachosema? Alshabaab is not a conventional army. JWTZ hawana technologia ya kupigana ukitafuta the possibilty of underground IEDs (Improvised-Explosive-Devices) katika barabara. Najua that is greek for JWTZ. Kwa hivyo tusijiweke hapa na terminiology ambazo huzifahamu vizuri. Na vita vya kagera/Idi Amin havikuwa na IED na rocket propelled grenades. Kwa hivyo Kenya has fought a third generational war ambayo Tanzania/JWTZ hawana experience making the KDF an advanced, intelligent, and capable army ready to withstand any type of attack whether unconventional of not.......
Mfano mwema Ethiopia/ENDF waliingia 2006 na wakakiona cha mtema-kuni kutoka ICU. Intel base inatoka from the local population not drones. Otherwise the kenyan operation has been hailed as the most successive in combating and wiping Alshabaab. ENDF waliingia na kufa kama vifaranga. Waganda walielekea mogadishu kutoa maafisa wa kijeshi/500 kama kafara. In actual sense the ENDF na UPDF operations could have protracted the war to 2016 jambo ambalo Kenya haikuwa tayari kushuhudia.
Kenya isingeingilia kati na Operesheni linda nchi...............vita vya Alshabaab somalia zingeingilia a protracted war zone ambao ingeendelea miaka na miaka na kuharibu mipango ya nchi
please try to direct your worries to either Sheikh Mukhtar Robow or Sheikh Hasan Dahir Aweys. they can enlighten you on the matter....where is askari kanzu to enlighten us on the al shabab defenses
Am neither a politician nor ambitious to be, ungekua na military knowledge ya darasani sio kwny internet, ungeelewa naongea nn.., cant waste anymore energy, by the way, there are always kenyan cadets being trained at tanzania military academy, can u mention a rough figure of how many tanzanian cadets are/were trained at your officers academy??
I told u i dont like politics/cians, just facts.
Bona petit!
please try to direct your worries to either Sheikh Mukhtar Robow or Sheikh Hasan Dahir Aweys. they can enlighten you on the matter.
you can't beat me, unfortunately. you are too weak!son dont be naive they already fled leaving us with you
On the contrary JokaKuu, kulikuwa na UNSC/charter ya Umoja-wa-Mataifa kuzuia mataifa yanayopakana na mataifa yenye vita kuingilia shughuli za kuleta amani, ndiyo ilizuia kenya kushindwa kupeleka majeshi hapo awali. Ndio unakuta kama sababu kuu Tanzania walichaguliwa kupeleka majeshi sierra leone na liberia na sio Nigeria kwa lengo la kuweka amani/Peacekeeping/ huku pacification ikifanywa na polisi/jeshi la nchi hiyo. Tuseme utekaji wa nchi jirani unaruhusiwa kama kuna kuchokozwa wa aina yeyote isiyo ya kawaida kutoka nchi jirani.
KDF itakapomaliza shughuli hapo Somalia, believe me Nigeria na Sierra leone wanakuja Somalia kureinforce usalama ili serikali yenye mandate baada ya TFG iliyosukwa in coordination na kenya/Uganda kuisha iweze kuendesha shughuli za kiserikali bila tatizo. Utakubaliana nami kuwa operesheni ya kenya (OLN) ndio imemaliza equation ya the threat matrix ya Alshabaab na sio utani. Waganda/UPDF waliingia kichwa-kichwa bila kuokota intelligence ya kutosha huku wakipoteza majeshi wao zaidi ya mia tano. Jeshi la Ethiopia/ENDF, baada ya kuingia kichwa-kichwa katika utekaji wao wa kwanza na kupoteza majeshi zaidi ya 70, hawakupata somo. Waliingia mara ya pili na ile agression yao ya kawaida na kupotezamajeshi.
Sitakubaliana nawe unaposema what kenya has done is little-to-late. Maana kama tunapakana na somalia, halafu majeshi ya Ethiopia na Uganda wanafanya shughuli za kijeshi kazi "mchanganyiko maalum" bila mpango, italeta magaidi kuingia katika mpaka ya kenya. Kwa hivyo shughuli ya kenya ina maana sana. Pia usisahau Tanzania watafaidika na hii shughuli ya OLN, maana tuliwaachia marekani na Uingereza na hawakuweza lolote. Magaidi watapungua kwa kiasi kikubwa na kama mradi huo wa LAPSSETT utakamilika, Itachangia pakubwa katika uchumi ya EA.
Am neither a politician nor ambitious to be, ungekua na military knowledge ya darasani sio kwny internet, ungeelewa naongea nn.., cant waste anymore energy, by the way, there are always kenyan cadets being trained at tanzania military academy, can u mention a rough figure of how many tanzanian cadets are/were trained at your officers academy??
I told u i dont like politics/cians, just facts.
Bona petit!
Am neither a politician nor ambitious to be, ungekua na military knowledge ya darasani sio kwny internet, ungeelewa naongea nn.., cant waste anymore energy, by the way, there are always kenyan cadets being trained at tanzania military academy, can u mention a rough figure of how many tanzanian cadets are/were trained at your officers academy??
I told u i dont like politics/cians, just facts.
Bona petit!
JokaKuu..............Kwanza........... Kama nilivosema hapo awali, makosa likuwa ya Umoja wa mataifa. Yaani walikuwa wame declare nchi iliyosambaratika ya Somalia kama economic basket case. Na wao umoja wa mataifa wakasalia katika kuleta misaada wajir na kupeleka Daadab. Hiyo ndio ilikuwa suluhisho kwao. Nao UN sasa wakaanza kushikanisha business-sensibilites katika uletaji wa misaada na madawa, NK(ilikuwa ni kama business setup).Kabaridi,
..the problem ni kuwa for decades mmejificha nyuma ya hizo resolutions za UN.
..what UN resolution allowed Ethiopia to send her army into Somalia??
..kwasababu mlikuwa idle mkitegemea wengine wa-sacrifice, halafu hali ikiwa nzuri wa-Kenya muende kufungua supermarkets, Somalia has disintegrated into chaos and anarchy.
..mngechukua hatua mapema hali isingekuwa mbaya and complicated kiasi kwamba Al-Shabaab wana-attack mpaka capital city za Kenya na Uganda.
NB:
..Kenya mmekuwa kama South Africans kwenye SADC, kila mtu anajua kwamba South Africa hawezi kupeleka askari wake popote pale for combat.
JokaKuu..............Kwanza........... Kama nilivosema hapo awali, makosa likuwa ya Umoja wa mataifa. Yaani walikuwa wame declare nchi iliyosambaratika ya Somalia kama economic basket case. Na wao umoja wa mataifa wakasalia katika kuleta misaada wajir na kupeleka Daadab. Hiyo ndio ilikuwa suluhisho kwao. Nao UN sasa wakaanza kushikanisha business-sensibilites katika uletaji wa misaada na madawa, NK(ilikuwa ni kama business setup).
Pili..............Nilivosema hapo awali kenya inajulikana kwa stance yake ya non-military approach kusuluhisha migogoro za nchi jirani. Nikubali tu niseme some small elements of "economic interests" attached to the KDF somalia operation ndio yaonekana kiini cha OLN...........otherwise tukizingatia hayo, basi operesheni had a two-fold puporse.
Tatu...............Kwetu sisi wakenya we have nothing to lose. Since 98 Embassy bombings despite multiple warnings of imminent terror attacks. So long as kuna economic interests za marekani na Ulaya nchini..................that makes kenyans a vulnerable/soft targets for Qaida na Shabaab. Ijapokuwa for AMISOM/Uganda, naona wao kutoka mwanzo hawakua na sababu mwafaka ya kuingia Somalia/ila pengine kuandikisha historia na pia kupachika influence yao katika siasa za Somalia/Mogadishu(bila kusahau Burundi and Djibouti).
Nne..........Ilipojulikana kuwa somalia ina madini muhimu kama uranium na Gesi kutoka explorations kwenye semi-autonomous states za Somaliland na Puntland, ndipo sasa International community wakaona matumaini kuwa somalia inaweza rekebiswa. Wakati huu katiba yao inachorwa upya na serikali inabuniwa baada ya mkutano wa ushirikiano na wabunge wa somalia kwa jumla(ikijumuisha semi-autonomus states zote).
Tano..............Kuhusu kujenga supermarkets, mungu atujalie.....tufikie tuone hiyo siku, ikifikia wakati amani itarudi tena Somalia hakuna msingi wakuzuia kujenga shopping malls na supermarkets. Naamini hata wale wadau wa biashara kutoka Tanzania watafurahia sana kuchukua nafasi hiyo nzuri.
Kabaridi,
..badala ya kushughulika na "tumor" miaka ya 90 sasa mnahangaika kutibu "cancer."
..KDF wangeweza kumaliza matatizo hayo kirahisi zaidi in the 90s kuliko sasa hivi ambapo hali imekuwa mbaya sana.
..Ur goverment did not act in the best interest[economic & security] of the wananchi kwa kuacha Somalia ikavunjika vipande-vipande.
Kabaridi,
..badala ya kushughulika na "tumor" miaka ya 90 sasa mnahangaika kutibu "cancer."
..KDF wangeweza kumaliza matatizo hayo kirahisi zaidi in the 90s kuliko sasa hivi ambapo hali imekuwa mbaya sana.
..Ur goverment did not act in the best interest[economic & security] of the wananchi kwa kuacha Somalia ikavunjika vipande-vipande.