WanaJF, Kenya na Uganda wafanyakazi wanauwezo wa kubadilishana vituo vya kazi kwa mfano walimu na wauguzi. Naomba msaada wa kujua hilo maana nataka ni extend system ya kubadilishana vituo vya walimu na wauguzi iwe EAST Africa kote.
Zimekuwa kwa habari mara nyingi. Siwezi kumbuka articles zote nilizosoma. Lakini angalia kwenye East African Standard, na kwenye website ya EAC - East African Community | One People, One Destiny