Kenya na miungu watu

Kenya na miungu watu

Mme Mwenza

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2025
Posts
1,909
Reaction score
2,449
Wana jamvi Habari zenu.!
Hivi ndugu zetu wa kenya wanamatatzo gani?

Ukiachana na yule jamaa aliejiita mungu (YEHOVA WANYONYI) wa kenya magharibi alifariki 2021.

sasa tena hukohuko kenya magharibi, akaunti ya kakamega, kitongoji cha chibuli.
mkazi mmoja akitambulika kwa jina la Afred Ndeta kajitangaza yey ni mungu na ndo baba wa yesu kristo.

anadai alishushiwa ufunuo huo 1987.

najiulza ndugu zetu wakenya nin kinawasibu mpaka kufikia hatua ya kutaman mpaka cheo cha Mungu.?

Na matukio mengne yaliyotukia ya wachungaji kuua mamia ya waumini kwa kuwashindisha njaa, wakiaminishwa yesu anakuja kuwachukua.

Ila Wakenya
 
je, unaweza ukathibitisha kuwa yeye sio Mungu?
 
Kuna yesu wa Tongareni, hajajitokeza kitambo.....

Mara ya mwisho kumuona ilikua ni pasaka ya mwaka jana, wananchi walitaka kumsulubu wamtundike msalabani, akakimbilia kituo cha polisi kuwa maisha yake yapo hatarini
hahahaha masihi wa Mungu akaogopa kichapo..
cjui huwa wanawaza nin hawa wenzetu duu
 
Back
Top Bottom