Inaitwa fractional reserve banking. Najua Tanzania hamfunzwi kuhusu pesa.
Fractional Reserve Banking.
Naona wewe masomo imekupita.Ingekuwa huko kwenu mnafundishwa kuhusu pesa vizuri msingekopa zaidi ya uwezo wenu. Halafu anaekopa hafanyi vile inatakiwa.. anakopa then anafanyie mambo mengine nyie wananchi ndio mnabakia kuumia kulipa deni wakati waliokopa wanakula raha tu..
Na venye vili hamjui kuhusu pesa mko tu kama mazuzu mmetulia tu bila kuishinikiza serikali ifanye miradi ya maana na kuacha kutumia fedha za umma vibaya ila mlivyo wa ajabu mna andamana eti kisa bungeni hakuna wamama wa kutosha. Nyie hopeless kabisa..hamjijui na hamjui mnataka nini..
Kwanza GTC towers washaanza kueka lighting effects naskia itakua inawaka kuwakaPhone yangu mega pixels yake si poa, acha niulize beshte kama anaeza piga hiyo kitu picha kwa nangos yake anitumie. nimefika hapo T-mall.
Yawezekana anaependa chakula akawa mpishi. Sasa hiyo nimemjibu mwenzio hapo.na wewe unapenda sana haya maneno ya vyakula..niulize kwani wewe ni mpishi?
Wacha hasira kama mwanamke wewe!! Uko na hasira na mtu ambaye humjui? Kisa na maana ati unataka kulazimisha Tanzania ni bora kuliko bora kenya ilhali dunia nzima inajua penye mko. My best advise stop living in denial and avoid putting all your energy on baseless argument. By the uko na kazi kweli yakufanya?Yawezekana anaependa chakula akawa mpishi..sasa hiyo nimemjibu mwenzio hapo.
Sasa na wewe unaependa kuparamia wanaume kwa comment bila kujua chanzo chake ni mtu wa aina gani? Eti? Mbona unajipendekeza kwa wanaume utakuwa ni mtu gani wewe?
eish!! Mkurugenzi, hiyo luku si itakunywa wasee.Kwanza expressway vile itapita hapo.kwanza GTC towers washaanza kueka lighting effects naskia itakua inawaka kuwakaView attachment 1581949
Huyo ndiyo resident mad man, ukitaka kujua mji inakua azima watu kama hao wapatikane.wacha hasira kama mwanamke wewe!!!!..uko na hasira na mtu ambaye humjui?kisa na maana ati unataka kulazimisha tanzania ni bora kuliko bora kenya ilhali dunia nzima inajua penye mko .my best advise stop living in denial and avoid putting all your energy on baseless argument..by the uko na kazi kweli yakufanya?
This is good. Formalising these markets will reduce agricultural losses.A silent tide is coming to take over the informal trade in Kenya. GOK and County Governments in collaboration with the world bank are undertaking a kes 33 billion project to construct modern, mega fresh produce markets across the country. The markets will come fully equipped with necessary infrastructure like cold storage facilities, loading bays for trucks, huge parking lots for customers.
As part of vision 2030, these projects form an important step in formalizing the informal traders who set up their trade on government land like road reserves, rail corridors and on the street walks.
Nairobi Metropolitan Area
Karandini Market (Capacity 1200 traders)
View attachment 1581208
Mwariro Market (Capacity 1200 traders)
View attachment 1581212
Westlands market (Green roofing, capacity 1100 traders)
View attachment 1581215
Ngong market (Capacity 2000 traders)
View attachment 1581217
Ruiru Market (Capacity 1200 traders)
View attachment 1581325
New Wakulima Market (Capacity 3000 traders)
View attachment 1581333
Gikomba market Complex U/C (Capacity 7000 traders)
View attachment 1581345
View attachment 1581347
Mombasa
Kongowea Market (Capacity 2000 traders)
View attachment 1581351
View attachment 1581360
Kisii
Daraja mbili Market (Capacity 700)
View attachment 1581356
Mandera
elwak market (Capacity 1000)
View attachment 1581367
Kisumu
Uhuru Business Park U/C (Capacity 4000 traders)
View attachment 1581373
View attachment 1581374
Nyeri
Karatina Market (Capacity 2000 traders)
Others that are to be started by december 2020 include Homabay Market (Capacity 200), Vihiga (Capacity 1500), Uasin Gishu (2600 traders) Kitui, Migori and Meru
Which ones are completed?A silent tide is coming to take over the informal trade in Kenya. GOK and County Governments in collaboration with the world bank are undertaking a kes 33 billion project to construct modern, mega fresh produce markets across the country. The markets will come fully equipped with necessary infrastructure like cold storage facilities, loading bays for trucks, huge parking lots for customers.
As part of vision 2030, these projects form an important step in formalizing the informal traders who set up their trade on government land like road reserves, rail corridors and on the street walks.
Nairobi Metropolitan Area
Karandini Market (Capacity 1200 traders)
View attachment 1581208
Mwariro Market (Capacity 1200 traders)
View attachment 1581212
Westlands market (Green roofing, capacity 1100 traders)
View attachment 1581215
Ngong market (Capacity 2000 traders)
View attachment 1581217
Ruiru Market (Capacity 1200 traders)
View attachment 1581325
New Wakulima Market (Capacity 3000 traders)
View attachment 1581333
Gikomba market Complex U/C (Capacity 7000 traders)
View attachment 1581345
View attachment 1581347
Mombasa
Kongowea Market (Capacity 2000 traders)
View attachment 1581351
View attachment 1581360
Kisii
Daraja mbili Market (Capacity 700)
View attachment 1581356
Mandera
elwak market (Capacity 1000)
View attachment 1581367
Kisumu
Uhuru Business Park U/C (Capacity 4000 traders)
View attachment 1581373
View attachment 1581374
Nyeri
Karatina Market (Capacity 2000 traders)
Others that are to be started by december 2020 include Homabay Market (Capacity 200), Vihiga (Capacity 1500), Uasin Gishu (2600 traders) Kitui, Migori and Meru
Kwani kati ya kunyaland na Tz ni nani aliepewa onyo apunguze kukopa kopa ovyo? BRT sasa inakwenda phase 3 wewe unaongelea phase two ambayo inakaribia kuzinduliwa?Wacha kutangaza ujinga yako wazi. WB na IMF wana ogopoa kuwapa deni. Mlijaribu kuomba ya sgr WB ikakataa, BRT phase 2 WB wamefunga mfereji kwanza kwa sababu ya uzembe yenu, imebidi muende kuomba deni ($1.4 billioni) on commercial terms kutoka benki ya uingereza ambayo itakuwa na interest kubwa kuliko concessional na bilateral loan zenye Kenya huchukua.
Na hiyo deni pia hiyo benki inafikiria mara mbili kuwapa, Huku Kenya tumezoea WB kuingilia miradi ya serikali na kutoa pesa kwa wingi.
sahi wenyewe WB wametoa kes 81 billion ya kujenga highway ya 745 km na kuweka network ya fibre cables kuelekea mandera kutoka isiolo ambayo ni mpango wa lapset nyinyi hata kupanua port hakuna nchi inataka kuwasaidia.
wacha hasira kama mwanamke wewe!!!!..uko na hasira na mtu ambaye humjui?kisa na maana ati unataka kulazimisha tanzania ni bora kuliko bora kenya ilhali dunia nzima inajua penye mko .my best advise stop living in denial and avoid putting all your energy on baseless argument..by the uko na kazi kweli yakufanya?
Uongo tu hapo nayo watanzania mnajua sanaKwani kati ya kunyaland na Tz ni nani aliepewa onyo apunguze kukopa kopa ovyo? BRT sasa inakwenda phase 3 wewe unaongelea phase two ambayo inakaribia kuzinduliwa?
Hizo fibre tayari tuna mkongi wa Taifa umesambaa nchi nzima hadi wilayani huko ndani ndani na pia tunavusha hadi nchi za jirani tunawasambazia net tu au nalo hilo hujui? Nyinyi si bado mko na maballon huko?
Bila WB huko hamuwezi hata kujenga KM moja ya lami sio? Dar port iko na oil jetty kubwa mbili, iko oil jetty Tanga port na soon tutakuwa na Mtwara oil jetty. Dar port imekuwa expanded sana tu na inaunganishwa na SGR ya umeme..huko mmeshakuwa na ndoto kama hizo?
Bro haina aja tuvutane na mabisho yenye haina msingi ilhali niwewe pia uliingilia mazungumo yangu..by the way if you feel that tanzania is better than kenya ..thats your opinion and we respect it. Everyone is entitled to his/her opinion. but jiulize mbona watalaam wanasema kenya is the economic giant of East Africa. Last time your members of parliament walikua wana mazungumzo kuhusu Kenya na tena walikua wanasema kenya is more developed and tz should stop fearing them and corporate with them for development.My advice kid, acha kujipendekeza kwa wanaume. Kawaida unajilinganisha na anaekuzidi, sasa kunya mmetuzidi nini zaidi ya mbio?
Uwivu itakumaliza.Corruption projects, na hamna ishu nyingine hapo.
Corruption iko but wajua nini. What puzzled the world nikua ata kama corruption iko the economy of Kenya is still growing like as nothing bad is going on. world bank juzi wenyewe walishtuka kuna corona na partial lockdown in kenya but still economy ilikua inapanda kupanda, hasimami.Corruption projects, na hamna ishu nyingine hapo.