Afadhali umezungumzia kocha. Niliona hilo mapema sana. Watu wanapewa kufuata uhomeboy na siasa za Yanga na Simba.
Hivi Mgunda na Mecky nani bora?
Angepewa Maxime au Mkwasa.
Mgunda hana CV yoyote ya kufundisha timu ya Taifa. Hata kuwepo ktk bench la Ufundi National team ni mzigo.