Kenya Kulikoni Jamani..hii ni dhiki tupu!!!!!


Tulikimbilia South mlipotutupa 1977 je unakumbuka?

JK is smart ndo maana akachaguliwa kuwa Chair wa AU- the only person from EA region!
 

Aloo kwa hisani zako fanya adabu ndani ya huu ukumbi wa wenyewe.
Kuambizana mambo kama "shut yourself up" utajikuta unanawa na kula
huli.

Pili jifunze kiswahili na epukana na makosa ya lafudhi yanayoashiria jamii yako.

Tatu, Kenya mliachiwa nyie wabishi na usidhani kwamba nina mwani na kua
na uraia wa nchi limbukeni kama Kenya.Kama kuna kasoro Kenya mbona
watu wasipewe taarifa?...Kumbuka ni wakenya kama weye mlio na dharau na
unadhani tutafyata mkia mnapoleta nyodo zenu humu ndani. Umekaribishwa
kistaarabu na hebu staarabika.

Now to address this hunger issue in Kenya, isn't it common knowledge that
some big shots within that so called Government sold the grain reserves
meant to feed Kenyans on a rainy day( ironically speaking)? Who was behind
that scandal that has left people surving on hot water and animal hide? What
is the Kenyan Govt doing to prosecute the guilty ama mtaunda tume ili ichunguze
whodunnit kama ilivyo kawaida ya serikali za Kenya?

Mtakufa njaa na huyo Raisi wenu aliyezubaa kana kwamba haelewi kulikoni ndani
ya nchi anayoongoza?

Habari nd'o hiyo!!!
 

Now i am so afraid i cant even think properly!!!!

Its OK for you to call us all the bad words on this earth but when we in turn come out to declare that we are not what you say we are you call that abusive language.thats double standard dictatorial and purely juvenile.These are just words they don't hang out with you they don't stick on your face they are simply words the moment you are off this forum you just leave them here and thats the beauty of it. Don take things so personally.
 
Last edited by a moderator:

Hellfire20,

Lemmie say thats not the case.

Abusive words shall not be allowed in this forum regardless of the
tenets of democracy.We are all grown up and calling people names
like bitches will not suffice. JF reserves the right to
its membership and its only but a privilege and not a right.


Lets debate issues and not people please.Kwa ufupi hoja hujibiwa
kwa hoja na sio matusi na bezo.

Shukran.
 
smatta, hellfire20,

- Ni kipi mnakitafuta kwenye JF?

- Bandiko linaongelea NJAA NCHNI Kenya, na NI KWELI KWA ASILIMIA 100% kwamba kuna watu mamilioni hawana chakula

- Pia hili bandiko limenukuliwa kutoka Gazeti la Standard la Kenya (sawa?)

- Mbona nyie mnaongeleo mambo mengine tofauti?

- Tunaomba mtuhabarishe nini hasa chanzo cha hii njaa na serikali inachukua hatua gani kunusuru maisha ya watu (basi) au siyo?

- Twaweza hata sisi kujifunza kutoka kwenu na pia kutoa msaada panapo wezekana

- Kauli nzito na jaziba hazijengi, njaa ipo Kenya na pia Siasa za Kenya bado ni tete, na hilo sio suala la chuki!

- Acha Koleo liitwe Koleo na Kijiko kiitwe Kijiko (sawa eh?)
 

I concur with you on that statement
 
Du. Majirani hawana misosi ya kutosha. Wakenya sio maadui zetu. Na uzuri wa issue hii inaweza kuwa fundisho kwetu. Sisi wenyewe tumewahi kumbwa na njaa. Watu wakala na visivyolika. Juzjuz hali ya hewa wamesema huko mbelen hali si shwari.

Kule kaskazin mwa Kenya ni nusu jangwa. Kupata njaa naamin si vigumu kias hicho. Bora sie tunaweza sema sehemu kubwa tunaweza panda cha kupanda, kikaota na tukavuna

Tutapata wap lakin ujasir wa kuwacheka wenzetu wakat wenyewe tunategemea mvua kuendesha kilimo chetu? Tunalima kama vile mababu zetu walivyolima – tukitumia jembe la mkono kwa kias kikubwa, tukitegemea mvua na nk.

kwa sie kutokumbwa na njaa muda huu ni kwa kudra ya mwenyez mungu zaid. hatuna mipango yoyote makin ya kutuepusha na janga kama hili

Kama walikuwa na misos na wakauza kimakosa huo naweza kuuita aina fulan ya ufisad. Lakin tuna jeuri ya kutosha ya kuwacheka wao kuwa ni mafisad kuliko sie na hawana moyo wa uzalendo kwa nchi yao wakat sis wenyewe tumechafuka kias hik? Ufisad kila pahala?
 
Nimeshtushwa na habari ya njaa nchini Kenya.."The East African Giant"...picha zinatisha. Siombei wilaya hata moja ya Tanzania kukumbwa na balaa hili la njaa. i hope viongozi wetu wanaliona hili la majirani zetu. na hivyo wanajizatiti kukabiliana na hali kama hii...Tuna maghara ya hifadhi ya vyakula ya taifa mikoa ya Morogoro na Mbeya (kama sikosei). Serikali kupitia Wizara ya Kilimo hununua mazao wakati wa mavuno na kutahifadhi....i hope yamejazwa chakula....Kutokana na balaaa la njaa nchini Kenya i keep remindin my felow Tanzanian that..."Tanzania might be poor...but we Tanzanian are not poor" (this is a fact). Which is the other way round when compared to our neighbours. And the problem with politicans is that..they don't want the outside world to know that they are in trouble...that their people are dying of hunger....so that they may not be dihonoured...This is totally wrong..waswahili husema...."mficha maradhi...kifo humfichua"...and this is maradhi (which has been hidden by the Kenyan government out of their arrogance) which is now being exposed to the outside world by the death of innocent civilians (women & children)....IT IS SO SAD.
 

This is very shameful...
 
This is very shameful...

....and yet some people wanna argue against it.

The Govt is sleeping on the wheel and something needs to be done ASAP.
The culprits whos sold the grain reserves need to be brought to book and
prosecuted for their selfish behaviour.
 
....and yet some people wanna argue against it.

The Govt. is sleeping on the wheel and something needs to be done ASAP.
The culprits whos sold the grain reserves need to be brought to book and
prosecuted for their selfish behaviour.

You wish!!!they will form a tribunal and talk all day with no noticeable results or solutions.

Ok...this debate is supposed to be about hunger and not name calling. The truth is Kuna njaa and it looks like the government is not doing anything tangible.
it's true kuna njaa, as reported by the esteemed fourth estate in Kenya. The question is what can be done?!

It is very sad, shameful, embarassing bla blah blah...
The government once again has been "caught with it's pants down" so to speak!
First the post election violence in which Kenya lost alot of credibilty....
Now scandal ya mafuta halafu ya maindi? barely a year into the so called coalition.
when will we learn? the so called government is the one to rant and rave at , na sio jirani who is merely pointing the obvious truth.
Kuna njaa and we are affected, I'm sure most Kenyans know some one who is hard hit by all this and is suffering.

I say it one more time it is shameful!!!shameful...pathetic, yaani watu kufa njaa in one corner and others "living large" in the other corner"

This should have been anticipated,.
during the post election violence, the affected people were in no positions to plant any crop, The weather patterns and the duplicity of the government has contributed to this disaster!

It is sad but true the goverment has not done enough!! Now they burn down Nakumatt to distract wanainchi...

accountability whatever happened to it?
this is no time for name calling, sarcasm, or any such adjectives.

Let's just be real
 
Mungu awasaidie hawa watu wanaotoka from the biggest economy of East Africa. ni ajabu kuona watu million 10 kati ya watu million 35 nchini wanahidaji msaada wa njaa. watu walikuwa wanakimbiakimbia vitani, badala ya kulima na kutafuta maisha. watanzania tujifunze hapo.
 
Halafu tena maskini moto Nakumatt na ajali tanka petroli kule Molo Wakenya wengi tu wamepoteza maisha!

Inaonekana huu ni mwa mbaya kwa jirani zetu!

RIP waliopeteza maisha!
 
Hii kali
njaa wenzetu wanayo kitambo

Kenya doesn't produce enough from Agricalture but it has money to buy, on the other hand Tanzania produces enough food to eat but no money. We import a lot of food from your country, that is no lie.

In Kenya, production of onions on commercial scale has failed to meet the market demand. According to WFP statistics, Red bulb onion used in Kenya is mostly imported from Tanzania.......

{{ metadata.get().title }}
 

Mwakahuu tumesikia vifo Turkana kenya kisa njaa
hiyo pesa ilikuwa wapi watu wanakufa!!
 
Kweli?? Umesikia media gani??

Kama ni hizi zenu za kibongo, Usiamini maana hawana reporters hata nje ya Bongo, ni hadithi tu wanazo
Mwakahuu tumesikia vifo Turkana kenya kisa njaa
hiyo pesa ilikuwa wapi watu wanakufa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…