Kwn kwako mji ni mahoteli...hv akili zako zipo well kwel..
Yani ukiulizwa mji upo vipi, mara hoo kuna vyuo vingi, mwengine naye hku anasema mji una mahoteli mengi...
Basi km ni hvo...
Thika na diani zingelikua juu ya mombasa, manake thika kuna campus za kumwaga tu halafu ukienda diani utakuta hoteli nyingi tu za kifahari...
Akili zenu mnazijua wenyewe