Iko bunduki ya kijinga, hiyo waliobeba hawa accuracy yake iko chini sana, tena iko na recoil mingi.
Afadhali mununue bunduki kama za polisi ya kenya hizi hapa chini.
i) cz scorpion evo rifle kwa kila polisi
View attachment 1621278
ii) M4A1 carbine ya special squads kama Team 18 ya gsu na recce
View attachment 1621283
iii) Glock pistol
View attachment 1621277
iv) FN scar L ya special squads za polisi kama administration police special warfare force. Hii sii FN scar H ambayo ni ya KDF pekee .
View attachment 1621279
kwa bunduki hakuna kitu kama flexibility, enda udanganye watanzania wenzako. Kuna accuracy, uzito, additions kama grenade launcher etc. Wewe na flexibility yako utakufa kabla ufungue mdomo.
Hehehe!!nimekupa mifano miwili umeanza kujeuza gear angani tayari[emoji23][emoji23]
We si uliuliza ubora km gani nikakujibu, sasa taarab za nn
Alafu hyo flexibility tueleze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Flexibility!!nilishtuka kiasi ila nkaona haina haja nijitie kujua sana, ila nkaonelea acha nimpe nafasi anieleze kw kina hyo flexibility
FN SCAR L is for special operations...Zina shida hizo za kupata joto..na vile vile wenye akili wezipiga Chini wamewauzia poyoyo Kenya ambao wamazipugia selfie..
What's the purpose of having the SCAR L and SCAR H while also having the M4A1 and M16A4?
Answer (1 of 6): The top answer here is wrong, so I’m going to chime in, despite this question being roughly two years old. The correct answer is that the SCAR L (or Mk 16 as it is known in US Military terminology) was discontinued almost immediately after it was adopted as it was deemed redunda...www.quora.com
Iko bunduki ya kijinga, hiyo waliobeba hawa accuracy yake iko chini sana, tena iko na recoil mingi.
Afadhali mununue bunduki kama za polisi ya kenya hizi hapa chini.
i) cz scorpion evo rifle kwa kila polisi
View attachment 1621278
ii) M4A1 carbine ya special squads kama Team 18 ya gsu na recce
View attachment 1621283
iii) Glock pistol
View attachment 1621277
iv) FN scar L ya special squads za polisi kama administration police special warfare force. Hii sii FN scar H ambayo ni ya KDF pekee .
View attachment 1621279
Kuwa funded na CIA you feel proud on that..CIA hawanaga rafiki wa kudumu zaidi ya interest za Marekani..Sasa sijui Wakenya mnaakiki gani kufuraia kuwa na kikosi ambacho kipo funded 60% na nchi ingine..Kwanza hao Team 18 ni wabaya. Hawa wame beba maghaidi hata kutoka somalia ndani kati kati ya al-shabaab,na kuwa safirisha moja kwa moja mpaka Guantamo, ni kama hao ni special force ya CIA ndani ya Gsu. Lakini wako fully equipped na 60% funded na CIA.
Na nyinyi wenye key sector EDUCATION iko funded more than 50%!!!Kuwa funded na CIA you feel proud on that..CIA hawanaga rafiki wa kudumu zaidi ya interest za Marekani..Sasa sijui Wakenya mnaakiki gani kufuraia kuwa na kikosi ambacho kipo funded 60% na nchi ingine..
Naona mapepo za mababu wako zimepanda, mpaka ujinga ya kitanzania ikakuzidi.FN SCAR L is for special operations...Zina shida hizo za kupata joto,kujam and mulfunctioning....wenye akili wezipiga Chini wamewauzia poyoyo Kenya ambao wamazipigia selfie na kujimwambafai
What's the purpose of having the SCAR L and SCAR H while also having the M4A1 and M16A4?
Answer (1 of 6): The top answer here is wrong, so I’m going to chime in, despite this question being roughly two years old. The correct answer is that the SCAR L (or Mk 16 as it is known in US Military terminology) was discontinued almost immediately after it was adopted as it was deemed redunda...www.quora.com
Hehehee!!ugua pole polena sitakaa nikwambia,enda usome kwa wakati wako.
Niaje mr flexibilitygia anga la wapi!!!kwanini mnapenda kuparamia fani za watu??
unachambua silaha halafu hujui hata unachoongea.
Emu rudia tena jomba[emoji1787][emoji1787]FN SCAR L is for special operations...Zina shida hizo za kupata joto,kujam and mulfunctioning....wenye akili wezipiga Chini wamewauzia poyoyo Kenya ambao wamazipigia selfie na kujimwambafai
What's the purpose of having the SCAR L and SCAR H while also having the M4A1 and M16A4?
Answer (1 of 6): The top answer here is wrong, so I’m going to chime in, despite this question being roughly two years old. The correct answer is that the SCAR L (or Mk 16 as it is known in US Military terminology) was discontinued almost immediately after it was adopted as it was deemed redunda...www.quora.com
Mazuzu wawaili wanajiriji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya mazuzu yanaangali rangi na kushangiria [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niaje mr flexibility
Emu rudia tena jomba[emoji1787][emoji1787]Mazuzu wawaili wanajiriji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenya police airwing has 7 +helicopters while the whole of TPdf has 6 helicopters[emoji23][emoji23].
Jiongeze, alafu nishakuelewa umeona mambo yameanza kuwa magumu sasa umeamua kujitoa ufahamu[emoji122][emoji122][emoji122]kujiriji ndio kufanya aje???
Umekalia kuti kavu babuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]shwari,vipi umechukua muda kuongeza maarifa au umeamua kubaki na ujinga???
Jiongeze, alafu nishakuelewa umeona mambo yameanza kuwa magumu sasa umeamua kujitoa ufahamu[emoji122][emoji122][emoji122]
Umekalia kuti kavu babuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]