Wasichojua ni kuwa mujaheedin hawana cha kupoteza including maisha yao wenyewe, sasa watu wa hivyo utawashindaje?? Mtu anapofikia hatua ya kutothamini maisha yake mwenyewe anakoma kuwa binadamu na anageuka kuwa shetani, sasa hao wakenya wananguvu ya kumshinda shetani???? Wa russia walijaribu afighanistan wakashindwa na waamerika zaidi ya miaka 10 wako afighanistan hakuna kinachoeleweka. Miaka ya nyuma Lebanon ilishindikana hadi leo kuna majeshi ya umoja wa mataifa, iraq pamoja na juhudi zote za waamerika bado kupo njia panda, syria kunawaka moto, egypt wanalilia mfuga ndevu awe rais. Mimi nadhani hawa watu hapa duniani ni kuwatengea maeneo wakae peke yao na allah wao na mtume wao na watu wengine wahakikishe mipaka inaimarishwa kuwazuia kutoka ndani ya hayo maeneo yao.