Kwani na nyie mnalinda amani? Mbona mnajilinganisha na watu ambao wanajua wameenda kula bata tu. Hizo program za kulinda amani watu wanatoa rushwa ili wapate nafasi ya kwenda kulinda amani lakini sio vitani. Sasa na nyie mmeanza kujilinganisha na walinda amani! kweli wakenya wako usiku wa manane kwenye maswala ya vita.DID YOU KNOW
Their are almost 10,000 AMISOM troops ( UPDF 6000 and Burundi 4000) in a 20 x 20km town(MOGADISHU)
African Union Mission to Somalia - Wikipedia, the free encyclopedia
who havent gained any head way out of that enclosure in 3 years. .......................its a matter of Competency .The Al Shabaab operates 2-5 km from the Main CBD of Mogadishu while on the other hand the Kenya Army (KDF) operates 4000 troops spread on a 100 x 700 km area in 3 sectors. in Central and Southern Somalia
Mkuu those shabaab guys do not even use weed, they eat khat (mirungi) and become sloppy but they are still able to withstand KDF. Talk of a "modern" army, cho!
Naona baada ya kushindwa mmeanza kuwakuza, kuwa sio alshabab, yemen jihadists na alquaeda; sijui kuna wayemen mmewakamata? Hapo ni sawa na sie kusema tulipigana na uganda na libya kisa kwasababu Gaddafi alimuunga mkono Amin. Tena bora sie tuliwateka hata walibya sijui nyie huko kuna wayemen mmewateka!Hii sio vita vya kagera ambavyo muliwakusanya kila askari polisi na walinda magereza na walinzi wa kila aina nchini tanzania kujiunga na vikosi vya jeshi la tanzania kumuondoa Idi amin. This is a big dragon Aka yemen jihadists, alshabaab & alqeaeda monsters.
Hebu waambie hawa majamaa. They talk too much but when they hear a blast they scatter and run faster than the way they do during the Olympics. Katika maisha yangu sijawahi kuona watu waoga kama wakenya!Naona baada ya kushindwa mmeanza kuwakuza, kuwa sio alshabab, yemen jihadists na alquaeda; sijui kuna wayemen mmewakamata? Hapo ni sawa na sie kusema tulipigana na uganda na libya kisa kwasababu Gaddafi alimuunga mkono Amin. Tena bora sie tuliwateka hata walibya sijui nyie huko kuna wayemen mmewateka!
Ni marketing manager KDF pekee anayeweza kulinganisha KDF na UPDF. Sasa hivi nasubiri statement nyingine ya waziri Haji, bila shaka hii itakuwa inaonesha wameshinda vita.
Naona baada ya kushindwa mmeanza kuwakuza, kuwa sio alshabab, yemen jihadists na alquaeda; sijui kuna wayemen mmewakamata? Hapo ni sawa na sie kusema tulipigana na uganda na libya kisa kwasababu Gaddafi alimuunga mkono Amin. Tena bora sie tuliwateka hata walibya sijui nyie huko kuna wayemen mmewateka!
Mwaka 98!Alqaeda walianza hivi vita mwaka wa 99, kwa hivyo sijui ni nini kingine naeza kuelezea. Itakuwa ni bora usome historia ya hivi karibuni kuhusu alqaeda Afrika mashariki.
Mimi sijasema wameanza mwaka huu. nimesema mmeanza kuwakuza, hata kama wangeanza miaka ya 1970 bado sio tiketi ya nyie kuwashindwa.Achilia mbali kuwa Alqaeda sio alshabab ila wanaweza kuwa wanashirikiana.Alqaeda walianza hivi vita mwaka wa 99, kwa hivyo sijui ni nini kingine naeza kuelezea. Itakuwa ni bora usome historia ya hivi karibuni kuhusu alqaeda Afrika mashariki.
For years we have been training Kenyan soldiers at our prestigious Monduli Academy see below:
Typical of a syphilitic and tribalistic mentality. Kenya this and Kenya that and so what? Your flat tune is sounding crestfallen and lugubrious in my ears. It is strange that even in the present times there are Kenyans like you who still believe they are the primadonnas and majordomos in this region. What are you doing in this Forum with that kind of backwardness! BTW, this is the first time I hear about Karen. Do you mean Karen Blixen?I will go on a limb and trust that source. I have to say I have never heard of Monduli. Those Kenyans there must be there on a friendly basis but not a need to basis; because Kenya has the means to train their military at all levels - it should be obvious because Kenya has more money. I know Tanzanians are also trained by us at the best school in the region in Karen. Maybe its an exchange program of sorts.
Typical of a syphilitic and tribalistic mentality. Kenya this and Kenya that and so what? Your flat tune is sounding crestfallen and lugubrious in my ears. It is strange that even in the present times there are Kenyans like you who still believe they are the primadonnas and majordomos in this region. What are you doing in this Forum with that kind of backwardness! BTW, this is the first time I hear about Karen. Do you mean Karen Blixen?
Kenyan Air Force Kills Seven Somali Children in Jilib
15 Jan 2012
Jilib is a town that is located just south of Kismayo in Somalia. Today, the Kenyan airforce killed seven Somali children and injured others. Traditionally, Kenya has not fought against Somalia as has been the case between Somalia and Ethiopia. Today, we have the son of a Kenyan father sitting as president of the US and for the first time we see strong Kenyan military action in Somalia. A few months ago, someone conveniently arranged for two white women to be kidnapped and taken across the border from Kenya into Somalia, one British and one French. This was immediately blamed on al Shabaab. However, there has been no proof that al Shabaab had anything to do with those kidnappings and al Shabaab never admitted to the kidnappings. One must also ask what purpose would it serve for al Shabaab to carryout such kidnappings. I can think of none, just as I could think of no reasons for the Libyan government under Muammar Gaddafi or the Syrian government under President Assad to wantonly fire upon their own people. There is no logic behind any of it. Therefore, the question must be asked, what is the agenda of the international banking investor class?. In Libya, al Qaeda was shooting protesters and pointing the finger at the Libyan government with the Rothschild media serving as a microphone for those lies. In Syria, the same is occurring. Again, in Kenya, there is no evidence that al Shabaab kidnapped these white women but it did trigger Kenya to begin to do the military bidding of the man sitting in the White House. As a result of this, Kenya has indicated it has killed hundreds of Somali fighters just as the US is claiming it has killed thousands of insurgents and terrorists in Afghanistan and elsewhere, while the pictures of those killed shows something far different. Most of those being killed are civilians and this is the case with Kenya, as well. Kenya has one of the world's largest slums but it also has the highest paid politicians in the world. Kenya's PM, Raila Odinga, said to be a cousin of President Barack Obama, receives a salary of $435,000. Odinga was also involved in the negotiation in the Ivory Coast which led to war in the Ivory Coast resulting in the killing of thousands and the French establishing Alassane Outtara as president in the Ivory Coast.
So if they can withstand KDF why are they making all these "tactical retreats" out of regions they controlled before KDF went there? I mean, they just vacated Gedo last week and fro the first time in years, that province, with the exception of one town is free of AS.
SomaliaReport: Al-Shabaab Vacates Gedo Region over Airstrikes
Basically, these guys are fleeing but you guys are still here singing their praises an declaring that they are defeating KDF!
''According to findings, only 11 per cent of Kenyans feel that the government has handled the war against the militants badly'' I think the 11pc are right not to be influenced by Major Chirchir's propaganda
AskariKanzu
Yaani vita dhidi ya wanamgambo wala mirungi wa al-alshabaab ndo mpaka mnawatungia sebene........Kweli hawa jamaa ingekuwa vita ya nchi kwa nchi saa hii Kenya ingekuwa tayari imekuwa koloni la jeshi(la nchi) vamizi ndani ya miezi mitatu tu