Bullycheka
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 560
- 493
We source ya mto mara ni kule MAO FOREST (MOSITU YA MAO) kule Kenya,hata wenyeji wa eneo hilo juzijuzi hapa wameshinda kesi ktk mahakama ya africa (African Court on Human and Peoples' Rights) hapa Arusha. Kesi yao ni waendelee kuishi ktk misitu hiyo.Hivi wanamjua Magufuli wanamsikia.. Kwani source ya mto si hipo Tanzania.. SO baba MAGU toa order ifanyike diversion ya mto na ukuta ujengwe TUWAACHIE KORONGO KAVU NA SI MTO MFYUUUUUUU
Pia kule Kenya huo Mto mara wao wamefanya mambo makubwa sana ukiacha misitu ya mau yanayovutia,ukianzia kule Narok wamelima mashamba makubwa ya umwagiliaji,kisha ukitoka hapo unaingia mbuga ya maasai-mara wamejenga mahoteli makubwa mazuri ya kifahari watalii wanaenda hapo kwa kujimwaga tu.We source ya mto mara ni kule MAO FOREST (MOSITU YA MAO) kule Kenya,hata wenyeji wa eneo hilo juzijuzi hapa wameshinda kesi ktk mahakama ya africa (African Court on Human and Peoples' Rights) hapa Arusha. Kesi yao ni waendelee kuishi ktk misitu hiyo.
Hivi chanzo cha mto huo upo Kenya Length: 395 km (245 mi) na kwa upande wa Kenya nadhan upo kwa zaid ya 64% na Tanzania ni 36% na mto huu umwaga maji yake Lake Victoria.
Nakuunga mkono sana kwa hili jambo.Hii nchi ya Tz imekuwa ikidhulumu waKenya na kuhujumu uchumi wetu kwa muda mrefu sasa.Its time we fire some tomahawks and hellfire missiles towards them.ajenge tu....it is time we start sabotaging Tanzanians the way they have been doing to us lately...sisi tunajifanya wazuri ila wale wamesha vaa kinga tayari kwa lolote...tuna sign mkataba na Uganda, jamaa anenda kwa Museveni usiku kumshawishi avunje mkataba...kisha anaenda kwa Kagame...wajenge hizo dams hapo Mara ikauke wanyama wafanye ile tunaita Mass Migration...tupoteze wote
we have rights to the river you know...
Ulikuwa unataka mlimiwe, mpikiwe na mpakuliwe?EAC ilipovunjika si mlibeba kila kitu mkafurahi sasa tumeamuka mnatuona wabaya.
Hujui dunia inavyoenda, wala hujui biashara ya utalii duniani inataka nini, watalii wenye pesa nyingi hawataki msongamano ndiyo maana wanakimbilia Tanzania, kujenga makazi mengi ndani ya hifadhi ni kubadili mandhari alisia ya porini, ndiyo maana Kenya wanapata mass tourism na Tanzania inapata quality tourism, mtalii mmoja anayetembelea Tanzania anatumia pesa mara tatu zaidi ya yule anayetembelea Kenya, endelea kujielimisha zaidi juu ya aina za utalii na faida zakePia kule Kenya huo Mto mara wao wamefanya mambo makubwa sana ukiacha misitu ya mau yanayovutia,ukianzia kule Narok wamelima mashamba makubwa ya umwagiliaji,kisha ukitoka hapo unaingia mbuga ya maasai-mara wamejenga mahoteli makubwa mazuri ya kifahari watalii wanaenda hapo kwa kujimwaga tu.
Maasai Mara kwa upande wa mbuga ni sehemu ndogo sana ya jumla ya Mbuga yote ukichanganya na Serengeti national park lakin kwa upande wa Kenya (MAASAI-MARA) kuna maajabu makubwa sana ya uwekezaji sjui km wale wahusika huwa wanenda kupelelezela uwekezaji wa kimanufaa ili waje waige kwa upande wa SENAPA na mbuga zetu zingine.
Nakuunga mkono sana kwa hili jambo.Hii nchi ya Tz imekuwa ikidhulumu waKenya na kuhujumu uchumi wetu kwa muda mrefu sasa.Its time we fire some tomahawks and hellfire missiles towards them.
Kumbuka hamna parks nyingine za maana! Povu la utomvu wa ndizi za kiburugwa hili [emoji121]ajenge tu....it is time we start sabotaging Tanzanians the way they have been doing to us lately...sisi tunajifanya wazuri ila wale wamesha vaa kinga tayari kwa lolote...tuna sign mkataba na Uganda, jamaa anenda kwa Museveni usiku kumshawishi avunje mkataba...kisha anaenda kwa Kagame...wajenge hizo dams hapo Mara ikauke wanyama wafanye ile tunaita Mass Migration...tupoteze wote
Nachukia manege kama huyo jamaa sijui kama wanafahamu the value of the Serengeti compared to Masai mara. The bottom line the more better hotels n lodges than Masai mara qualitywise !Hujui dunia inavyoenda, wala hujui biashara ya utalii duniani inataka nini, watalii wenye pesa nyingi hawataki msongamano ndiyo maana wanakimbilia Tanzania, kujenga makazi mengi ndani ya hifadhi ni kubadili mandhari alisia ya porini, ndiyo maana Kenya wanapata mass tourism na Tanzania inapata quality tourism, mtalii mmoja anayetembelea Tanzania anatumia pesa mara tatu zaidi ya yule anayetembelea Kenya, endelea kujielimisha zaidi juu ya aina za utalii na faida zake
Aisee magu aanze kuchimba visima tu huko Serengeti, maana kiu kinakachokuja humo no cha jehanam, nyumbu itabidi wakanywe maji ziwa victoria[emoji3] [emoji191] hali sio hali tena,Ile ya silibwet dam imeanza kujengwa a few weeks ago, sasa hadi zikamilike zote Saba hali itakuaje?mtatambua tu ni nani EA largest economy hio dam itakapojengwa...Kenyatta bado anawabembeleza ndio maana mmemea pembe...