Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Niaje mtu wangu,
Kwa post yangu sijasema balala amesoma, kilicho nidunga hapo ni vile huyu morio GU ana try ku divert hii thread, thread imeiva na tunaeza i discuss intellectually, lakini watu wakianza ku spit arguments hazina basis from the top of their heads, ita haribu kila kitu coz mimi sioni education background ya balala imetokea wapi and its common sense that your hospitality sector is dead, Everyone and their mamas know that.
Na wasilisha.
Mimi niko pouwa mtu wangu,
Geza Ulole asked for the man's CV just out of curiosity and I gave
him Balala's website. Ukipekua vizuri hio website his educational
background is not detailed but hazy making somebody suspicious
of Balala's intellectual ability to address weighty matters.
..kuhusu hio hospitality issue nadhani you are trying to force a point
that is not there. Tanzanians are miles ahead when it comes to hospitality
as compared to Kenyans. Labda mumetuzidi na hayo mahoteli yenu
lakini sio eti kwa sababu ya ukarimu au ustaarabu.
Umenipata hapo?