Nyie si mko na Vita sasa hivi mkapigane huko Somalia kwani lazima mje kujipima kwetu kwa Maneno? Kunya boys hatuna muda Wa kupigana kwa maneno, ikitokea Vita tutapigana nyie bakini na Jeshi bora kabisa Afrika linaloshindwa na kamdudu Alshabab.operation mliyofanya miaka 40 iliyopita sasa unatuletea..
There is no soldier in the current TPDF that has fired a weapon against an armed enemy ..
There is no pilot who has done any kind of bombing
There is no helicopter pilot in your current force that has supported ground troops...
You have not made any significant purchases in the recent past ..
Sasa ni operations gani.
Pokot cattle rustlers have more battle experience than TPDF 2019
Acha upumbavu wewe manunuzi hayapigani, wanapigana Askari waliofunzwa na wenye nidhamu ya Kivita, ndio Maana wakati wote tuna uwezo Wa kushinda na kuteka Silaha hatari toka kwenye majeshi Wa wapumbavu kama lenu, Sawa Kunya boy? Hopeless kabisa.Wewe mbumbumbu, you have said that we should rely on the current issues.
Si mmefanya manunuzi vema? Si mmefanya training za hali ya juu? Sasa gari inawashindaje?
Ombeni msaada tuwasaidie kwani inaonekana hii mirungi imewalemaza.Umesahau km nyinyi ni wakombozi wa afrika
Ombeni msaada tuwasaidie kwani inaonekana hii mirungi imewalemaza.
Bro ingekua hiyo mission kapewa JWTZ na akakubali kuingia hao wasomali wangejuta wangetaabika.
Maana km m23 walisumbua wakatusumbua kwa kiasi ila kibano walichokuja kipata hawatasahau.
Bahati nzuri au mbaya hatupo kwa hiyo mission.
Bro ingekua hiyo mission kapewa JWTZ na akakubali kuingia hao wasomali wangejuta wangetaabika.
Maana km m23 walisumbua wakatusumbua kwa kiasi ila kibano walichokuja kipata hawatasahau.
Bahati nzuri au mbaya hatupo kwa hiyo mission.
Heheee....mbna sisi tuliwasaidia wakati wa tetemeko la ardhi..ukumbuke hamkutuomba msaada...
Mkuu acha kufananisha bangi na vitu vya kijinga! Mwambie aache ujinga wake sio bangi !
Asa ninyi mpo Somalia km hampo.Lkn kinachonishangaza jwtz currently wako congo km sikosei..na sijaskia km mmemalizana na wale jamaa[emoji848][emoji848][emoji848]
Unajua maana ya msaada?
Sema mlitoa rambirambi.
Msaada walitoa Islamic Foundation sio ninyi.
Asee Congo kulitokea makundi mawili ukijumlisha na hili.
M23 tumewamaliza bado hawa AFD.
Licha ya hvyo toka TPDF awe kule ulishaskia AFD wakisumbua??
Asa ninyi mpo Somalia km hampo.
Yani yale yale shabab wanawatandika vema tu.
Asee Congo kulitokea makundi mawili ukijumlisha na hili.
M23 tumewamaliza bado hawa AFD.
Licha ya hvyo toka TPDF awe kule ulishaskia AFD wakisumbua??
Asa ninyi mpo Somalia km hampo.
Yani yale yale shabab wanawatandika vema tu.
Uongo 100%
Vvb