Kenya: Akutwa amefariki katika nyumba ya wageni baada ya kuingia na wanawake wawili

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,940
2,000
Polisi nchini Kenya wanachunguza kifo cha mwanaume aliyekutwa amefariki kwenye nyumba ya wageni, ambayo aliingia kwenye nyumba hiyo akiwa na wanawake wawili

Maiti ya Mwanaume huyo imegundulika Januari 12, na amekutwa akiwa uchi kitandani. Katika chumba kulikuwa na kondomu iliyotumika lakini wanawake hawakuwepo.

======

Police officers in Maua are probing an incident in which a middle-aged man was on Tuesday morning found dead inside a lodging
According to reports, the man had the previous night spent his evening at a popular local joint in the company of two women
He is then said to have proceeded to the lodging in the company of the two ladies.

When police officers visited the scene on Tuesday morning, the man’s naked body was on the bed.

There were also used condoms in a bin but his two female companions were nowhere to be seen.

His body has been moved to the Nyambene Funeral home pending an autopsy that will aid the ongoing probe.
 

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
22,050
2,000
3some hata 4some huhitaji ufundi sio vitu vya kupapatikia na maviagra. Unaicheza freshi tu japo kwa kimikakati.

Acheni viagra, tumia mbinu za asili, kwa msiojua haswa vijana, tafuteni mbegu za moringa zipo nyingi kote, au hata mbegu za maboga/pumpkin seeds, ni vitu vya asili ambavyo vimedhihirishwa kisayansi maana zina madini ya zinc ambayo huongeza testosterone.

Ukizila miezi mitatu utaanza kuona matokeo na haitotokea uhitaji hizo viagra.
 

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
11,895
2,000
Mwamba ni Yesu pekee,binadamu wote no tope.
Wee nae umekosa vyakufananisha. Sasa yesu tangu lini akawa mwamba, yaani wee unakosea muumba wako heshima mpaka mwanae aliyemtoa aje akukomboe unamwita mwamba. Nenda tkatubu braza. Tuwe na heshima kwa muumba wetu huwezi kumuita yesu mwamba kama una akili timamu.
 

desayi

JF-Expert Member
Aug 27, 2017
1,163
2,000
3some hata 4some huhitaji ufundi sio vitu vya kupapatikia na maviagra......unaicheza freshi tu japo kwa kimikakati.

Acheni viagra, tumia mbinu za asili, kwa msiojua haswa vijana, tafuteni mbegu za moringa zipo nyingi kote, au hata mbegu za maboga/pumpkin seeds, ni vitu vya asili ambavyo vimedhihirishwa kisayansi maana zina madini ya zinc ambayo huongeza testosterone.

Ukizila miezi mitatu utaanza kuona matokeo na haitotokea uhitaji hizo viagra.
Mbona ukila parachichi na tikiti maji na ukanywa tangawizi siku mbili tu unakuwa dume la simba
 

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
22,050
2,000
Mbona ukila parachichi na tikiti maji na ukanywa tangawizi siku mbili tu unakuwa dume la simba

Yeah tikiti maji sawa ila kwa parachichi hamna kikubwa, pia ukiweza kupata samaki wa aina ya chaza/oysters husaidia pakubwa na ipo kisayansi. Japo huko Bongo huwa mnadanganywa eti mchuzi wa pweza husaidia, hamna kitu kama hicho, pweza hana madini yoyote au chochote cha kupandisha mzuka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom