Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 34,146 Reaction score 33,024 Oct 1, 2020 #1 Lishirika linazidi kuporomoka huku jamaa wanajifanya kizungu kingii. Utopolo mtupu.
LICHADI JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 4,727 Reaction score 13,466 Oct 1, 2020 #2 Hata air tamzania chupa lile lile sema sisi tunaficha taarifa na wakenya hawafichi
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,277 Oct 1, 2020 #3 Magonjwa Mtambuka said: Lishirika linazidi kuporomoka huku jamaa wanajifanya kizungu kingii. Utopolo mtupu. Click to expand... usisahau kuweka hapa faida na hasara ya ATCL baada ya kununua madege kwa cash.
Magonjwa Mtambuka said: Lishirika linazidi kuporomoka huku jamaa wanajifanya kizungu kingii. Utopolo mtupu. Click to expand... usisahau kuweka hapa faida na hasara ya ATCL baada ya kununua madege kwa cash.
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 34,146 Reaction score 33,024 Oct 1, 2020 Thread starter #4 Daudi Mchambuzi said: usisahau kuweka hapa faida na hasara ya ATCL baada ya kununua madege kwa cash. Click to expand... Hiyo ya ATCL weka wewe kamanda uchwara. Hapa ni kuhusu KQ, unaelewa?
Daudi Mchambuzi said: usisahau kuweka hapa faida na hasara ya ATCL baada ya kununua madege kwa cash. Click to expand... Hiyo ya ATCL weka wewe kamanda uchwara. Hapa ni kuhusu KQ, unaelewa?
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 34,146 Reaction score 33,024 Oct 1, 2020 Thread starter #5 LICHADI said: Hata air tamzania chupa lile lile sema sisi tunaficha taarifa na wakenya hawafichi Click to expand... Sasa si ufichue tu, unaficha halafu unalalamika nini?
LICHADI said: Hata air tamzania chupa lile lile sema sisi tunaficha taarifa na wakenya hawafichi Click to expand... Sasa si ufichue tu, unaficha halafu unalalamika nini?
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,277 Oct 1, 2020 #6 Magonjwa Mtambuka said: Hiyo ya ATCL weka wewe kamanda uchwara. Hapa ni kuhusu KQ, unaelewa? Click to expand... mataga umeshapanic 🤣
Magonjwa Mtambuka said: Hiyo ya ATCL weka wewe kamanda uchwara. Hapa ni kuhusu KQ, unaelewa? Click to expand... mataga umeshapanic 🤣
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 34,146 Reaction score 33,024 Oct 1, 2020 Thread starter #7 Daudi Mchambuzi said: mataga umeshapanic 🤣 Click to expand... Kivipi?