Kenta inauzwa

Kenta inauzwa

Emaoi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
307
Reaction score
235
Wadau kenta inauzwa ipo daresalaam ni ya tani 2 na nusu. Engine yake ni 33 na inabinua vizuri. Bei yake ni shilingi milioni 18.(18,000,000/=) kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hii 0754 834839
 
hii ni tetesi au uko serious? maana kichwa cha habari umeandika ni tetesi hauna uhakika
 
Wadau kenta inauzwa ipo daresalaam ni ya tani 2 na nusu. Engine yake ni 33 na inabinua vizuri. Bei yake ni shilingi milioni 18.(18,000,000/=) kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hii 0754 834839

inabinua vizuri??
 
mkuu unakubali instalments,nina milioni sita cash,nyingine nitalipa kwa instalments kama utakubali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom