Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,738
- 3,236
Big Up Meneja!Meneja wa mchezaji huyo Mbaki Mutahaba amesema, uongozi wa Genk umevutiwa na uwezo wa kijana huyo na kila kitu kimekamilika na kinachosubiriwa sasa ni umri tu.
Uyo manager Mbaki ni mdogo ake na marehemu Ruge Mutahaba .Niko interested na meneja huyo. Sijui napata vipi hata page yake.
Sogea Mikocheni Primary School ,ndio vijana wake wanafanya mazoezi uwanja huo
Kumbe.
Ah jamaa ni kocha pia nini?Sogea Mikocheni Primary School ,ndio vijana wake wanafanya mazoezi uwanja huo
MTC | 101| [emoji769]
Mpaka nione official statement ya Genk isije kuwa ya Msuva na BenficaHuyu dogo ana kipaji Sana. Hakuna mchezaji wa bongo anamzidi kwa sasa
HahahahaMpaka nione official statement ya Genk isije kuwa ya Msuva na Benfica
Sent using Jamii Forums mobile app