ngosha mchele
Member
- Dec 7, 2014
- 71
- 40
Nisaidieni namna yakukwepa ugomvi wa mara kwa mara ndani ya nyumba,dah mtu ukimuuliza kitu kidogo tu maneno yake majibu yake duh unatamani ardhi ipasuke uingie ndani,wanawake wa kizazi hiki nani kawaroga?? Muwe na akiba ya maneno,hivi kumzidi kipato mumeo ndo kumfanyia dharau??
Ishi na mwanamke kwa akili, jichunguze sana mkuu kabla ya bomu kulipuka, kuna uwezekano siku nyingine ukaja humu na kisa cha kutupiwa mabegi njeNisaidieni namna yakukwepa ugomvi wa mara kwa mara ndani ya nyumba,dah mtu ukimuuliza kitu kidogo tu maneno yake majibu yake duh unatamani ardhi ipasuke uingie ndani,wanawake wa kizazi hiki nani kawaroga?? Muwe na akiba ya maneno,hivi kumzidi kipato mumeo ndo kumfanyia dharau??
Kama unazonipa mie!no marriage no stress. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Unarudi nyumbani saa ngapi?Nisaidieni namna yakukwepa ugomvi wa mara kwa mara ndani ya nyumba,dah mtu ukimuuliza kitu kidogo tu maneno yake majibu yake duh unatamani ardhi ipasuke uingie ndani,wanawake wa kizazi hiki nani kawaroga?? Muwe na akiba ya maneno,hivi kumzidi kipato mumeo ndo kumfanyia dharau??
Dawa ni kupiga kimya no kumuuliza chochote!!!!mtu ukimuuliza kitu kidogo tu maneno yake majibu yake duh unatamani ardhi ipasuke