900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,462
- 11,522
Hapa nilipo nimeshaanza zoezi nakaza naachia nakaza naachiaHabari zenu wadau: let me go straight to the point,,, kumekuwa na malalamiko kuhusiana na nguvu za kiume, bahati mbaya watu hawaelewi tatizo hili linasababishwa na nini, kiukweli tatizo linaweza kuwa la ki psychology au physically factors, sasa leo nataka niwape mbinu ambayo itaenda kubadilisha maisha yako yakimahusiano, sasa twende kwenye methods and how to do it correctly, kwanza kabisa zoezi linaanza ukiwa umebanwa na haja ndogo, halafu unafanya kama.
Unaachia mkojo halafu ubana kidogo rudia hivi Mara kadhaa, mpaka utakapo gundua kwamba umeelewa ni upi msuli sahihi uufanyie mazoezi, baada ya hapo utakuwa unafanya zoezi hili kila siku, zoezi hili linasaidia sana kuboresha misuli ya uume, inasaidia kwa wale wanao wahi kufika kileleni, na wale wanaosumbuka kurudia tendo baada ya kumaliza bao la kwanza, ni hayo tu...
Ngoja nikupe faida zake.Any update?
Sawa wajinaWe gonga Kegel, usiwe mvivu, na usiwe na deadline baada ya muda flani, utashangaa mwenyewe,..Your my wife wako atakukimbia kwa shoo..
Sent using Jamii Forums mobile app
SafiiNgoja nikupe faida zake.
Nilifanya hili zoezi japo matokeo nilianza kuyapata baada ya wiki 3 au mwanzo wa wiki ya nne.
Matokeo yake ni kama ifuatavyo
1. Mishipa ya uume ilikomaa zaidi na nilipata very strong erections (wiki mbili matokeo)
2. Niliweza Kwa kiasi chake kulichelewesha bao kwa kubana kegel kwenye mechi
3. Bao linatoka Kwa nguvu sana na kuongezeka utamu
4. Hapa niliweza kupata dry orgasm yaani nilifika kileleni bila kumwaga bao (najua wengi mtashangaa apa ila jaribu kugoogle tofauti ya orgasm na ejaculation). Hii ilinichukua kama mwezi ivi japo hutokea mara chache na sio zote
Angalizo moja Tu ambalo ata Mimi nimekosea sana. Nikishapata matokeo huwa naacha kuendelea na zoezi. Baada ya muda misuli inapoteza nguvu tena. Kwahiyo jua Tu ili zoezi ni endelevu maisha yako yoteSawa wajina
OkAngalizo moja Tu ambalo ata Mimi nimekosea sana. Nikishapata matokeo huwa naacha kuendelea na zoezi. Baada ya muda misuli inapoteza nguvu tena. Kwahiyo jua Tu ili zoezi ni endelevu maisha yako yote
Zipo YouTube mkuuWakuu habarini za asubuhi.
Naomba mwenye video inayoonesha jinsi zoezi lile la kegel linavyofanyika atupie.
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Youtube kuna vitu hawawek jaman....
Kwa hiyo ulitaka mtu ajirecord akiwa anafanya kegel akutumie?Youtube kuna vitu hawawek jaman....
Wanagumba fumba.
Zaman kidogo ndo kila kitu walikuwa wakiweka
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dooohKwa hiyo ulitaka mtu ajirecord akiwa anafanya kegel akutumie?
Unajua maana ya Kegel exercise
Nenda youtube mdau andika kegel exercise utaonyeshwa.....Wakuu habarini za asubuhi.
Naomba mwenye video inayoonesha jinsi zoezi lile la kegel linavyofanyika atupie.
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wafanya kegel exercise wao wanasemaje..Kwa hiyo ulitaka mtu ajirecord akiwa anafanya kegel akutumie?
Unajua maana ya Kegel exercise