Keep Smiling Always

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
853
Reaction score
210
Unajua kichwa cha habari hapo juu kinatupatia changamoto watu tuwe ni wenye kufurahi muda wote;kwasababu,faida mojawapo ni kukuongezea muda wa kuishi.
Hivyo basi,ni matumaini yangu kuwa mtakuwa pamoja na hawa wazee katika hilo.Kama inavyoonekana katika picha hapa ndani.
Anayekataa,nitaomba ajieleze kupitia baruapepe yangu.
Nawasilisha mada,
Ahsanteni.





 

Attachments

  • image001.jpg
    32.2 KB · Views: 104
  • image002.jpg
    19.9 KB · Views: 102
  • image003.jpg
    37.4 KB · Views: 132
  • image004.jpg
    22.1 KB · Views: 89
  • image007.jpg
    2.9 KB · Views: 92
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…