M Mado ginner New Member Joined Oct 5, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Oct 6, 2013 #1 Nina elimu ya form six natafuta kazi
H hewa Member Joined Oct 27, 2012 Posts 35 Reaction score 14 Oct 6, 2013 #2 Nenda kajitolee kwanza kwenye taasisi yoyote hata mashuleni kajitolee kufundisha baadaye utashangaa wakikukubali wanakupa kazi bwana mdogo
Nenda kajitolee kwanza kwenye taasisi yoyote hata mashuleni kajitolee kufundisha baadaye utashangaa wakikukubali wanakupa kazi bwana mdogo