fatma sekkaya
Member
- Sep 8, 2018
- 25
- 3
Habar zenu wadau naomba kuuliza kwa wale tulioifanya interview tanga tanesco vp wameshaita watu kazini?
Tayar washaanza kuita .Habar zenu wadau naomba kuuliza kwa wale tulioifanya interview tanga tanesco vp wameshaita watu kazini?
Wameanza lini kuita je ww umeitwa?Tayar washaanza kuita .
Wameanza kuanzia kama majuzi hivi kwenye tarehe 4 kunajamaa yangu ndio alifnya hiyo wamemuita tayari.Wameanza lini kuita je ww umeitwa?
Electrical TechnicianAlifanya kwa kada ipi maana mm nimefanya ya uhasibu na nimewauliza wahasibu wenzang wanasema hawajaitwa ndio maana nauliza.
Kwa lugha hiyo ukiitwa kazini nitasha gaa Sana.Ok tenx
Sawa ukiitwa wewe pia itakua vzurKwa lugha hiyo ukiitwa kazini nitasha gaa Sana.
Kwa lugha hiyo ukiitwa kazini nitasha gaa Sana.





