Kazi

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,245
Reaction score
7,723
Je una leseni class A na D na unajua kuongea kiingereza na upo DSM?
Nitumie namba yako ya simu pm kwaajiri ya kazi ya delivery

Wahi maana nafasi ni chache
 
Kamaje ujui kiingereza uwezipata kaz mim ni dereva nina uzoefu usio pungua miaka sita barabarani nitafurai kamanita patakazi kwenye kampuni yako napatikana kwa mawasilian 0785837710
 
Me know English and no. Licence of class a&d
 
Je una leseni class A na D na unajua kuongea kiingereza na upo DSM?
Nitumie namba yako ya simu pm kwaajiri ya kazi ya delivery

Wahi maana nafasi ni chache

mi nina class B, D namba:0657406717 kiingereza sio sana
 
mimi nina leseni uliyoitaja na kiingereza najua kiasi chake namba 0713289053
 
Je una leseni class A na D na unajua kuongea kiingereza na upo DSM?
Nitumie namba yako ya simu pm kwaajiri ya kazi ya delivery

Wahi maana nafasi ni chache
nina leseni class B and D na ninajua kingereza kwa ufasaha namba yangu ya simu ni 0719497524
 
Je una leseni class A na D na unajua kuongea kiingereza na upo DSM?
Nitumie namba yako ya simu pm kwaajiri ya kazi ya delivery

Wahi maana nafasi ni chache
MIMI NINAYO LESENI KAKA NA KUONGEA KINGEREZA VIZURI NAJUA KAKA NINA DARAJA A,B,D NO YANGU NI 065371628
 
Kasema mumfwate pm sio hadharani kama interview wote hapo juu mlioweka namba mmekosa kazi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…