George Barran
JF-Expert Member
- Sep 2, 2015
- 654
- 1,301
Naitwa George nipo kigamboni natafuta kazi ya kinyozi far as salaam
Atakua yule muhanga wa SCORPIONoya umepotea njia
Hajapotea,oya umepotea njia
mkuu kwani hujui kusoma na hili ni jukwaa la nini kwa nini waliweka jikwaa la nafasi za kazi? na huyu jamaa amepost kwenye jukwaa gan?Hajapotea,
Atapata mbona wengi wanapata kazi hapa hapa JF?