Kazi Za USHAGOOO

huyu jamaa anawalisha nylon....?

Ndio matatizo ya kufanya kazi za ushagoo tao maana kuna wakati unawaona wanyama wa tao wanakuja wanakuta tangazo limebandikwa waliangalia kama wanalisoma halafu baada ya kuliangalia kama wanalisoma wanalibandua nakuaanza kulitafuna utasema labda wameudhiwa na kilichoandikwa
 
Kwa urefu wa huyu jamaa angekuwa Marekani angecheza basketball...bongo anachunga, dah!
 
e bana ee...., nishapiga sana mzigo huo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…