Wale jamaa hawakuwa serious,wanaweka email ambazo ukituma application wanakwambia inbox yao
imejaa.ngoja waje wenyewe
rediculous.,,, my friend faced the same problem.....
Jamani kwa kweli tutapata ajira kwa hali hii? Dam this country its hilarious!Sasa sijui hawakujipanga....au it was tricky...walishapata watu wao kitambo
hii nchi imetapakaa sana rushwa,kujuana na udini kweny ishu za ajira
Jamani kwa kweli tutapata ajira kwa hali hii? Dam this country its hilarious!