Kazi za Monitoring and Evaluation, Research na Project Management

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,403
Nina elimu ya Masters ya Project Management. Postigraduate ya Public Health. Bachelor ya Sociology. Uzoefu wa miaka 5 ya Monitoring and Evaluation!.. Na uzoefu wa miaka 7 ya masuala ya utafiti.

Kana kuna kazi yoyote ya kuajiriwa tena, kutoa ushauri (Consultancy), kuwa patner ama kukuandikia miradi mbalimbali. Basi wasiliana nami inbox...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom