Asante kwa ushauri mkuuYaani migodi mikubwa mikubwa au unataka ukawe mchimbaji mdogo mdogo?
Kwa sababu kama migodi mikubwa lazima uwe na background ya kitu flani kama Mining Eng, Geologist, Mineral Processing Eng etc. Au labda dereva/operator’ wa yale madoza au dumper etc.
Otherwise nakushauri nenda tu huko huko kajimix na wachimbaji wadogo wadogo ila risk ipo pia si umesikia mashimo yamefukia mengi tu.
Kama muoga nenda surface mining kama Mwadui kwenye Diamond wale hawaingii chini wanachimba juu.
Dhahabu nyingi ni underground na tanzanite pia.
Mgodini kutafuta capital,then niingie katika kilimo cha umwagiliajiKilimo cha umwagiliaji migodini ?
Mtafute DOTTO BITEKO.Salamu!
Baada ya harakati kuwa ngumu na maisha kuendelea kuwa magumu,nimeamua kwa moyo mmoja kwenda mgodini.Lengo kuu ni kutafuta mtaji wa kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji 2021/2022.
Naomba mwenye connections kwenye migodi ya shinyanga na Geita ili niweze kupata pakuanzia.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kama mgodi nenda maeneo ya mwadui, maganzo hapo shinyanga nenda kachimbe Diamond unaweza pata bahati bhana ukapata almasi. Hiyo ni target yangu naweka vitu sawa alafu najiachia pande hizo kwenye almasiSalamu!
Baada ya harakati kuwa ngumu na maisha kuendelea kuwa magumu,nimeamua kwa moyo mmoja kwenda mgodini.Lengo kuu ni kutafuta mtaji wa kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji 2021/2022.
Naomba mwenye connections kwenye migodi ya shinyanga na Geita ili niweze kupata pakuanzia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mkuu tukapambane hukomkuu kama mgodi nenda maeneo ya mwadui, maganzo hapo shinyanga nenda kachimbe Diamond unaweza pata bahati bhana ukapata almasi. Hiyo ni target yangu naweka vitu sawa alafu najiachia pande hizo kwenye almasi