Mkiwa wa Mungu
Member
- Jan 18, 2013
- 11
- 2
Kuna mdogo wangu amehitimu chuo shahada ya elimu katika masomo ya Swahili na historia! Kuna yeyote anajua anaweza kupata wapi kazi za kujitolea? Au kazi za part time?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums