Kazi za Estate officers-TRA

Kazi za Estate officers-TRA

Rakeem

Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
94
Reaction score
12
Jamani nani atujulishe lini wanaita kwa interview maana kuomba Kazi tu ilikua Kazi.TRA badilisheni online application system yenu sio user friend kabisa
 
Jamani nani atujulishe lini wanaita kwa interview maana kuomba Kazi tu ilikua Kazi.TRA badilisheni online application system yenu sio user friend kabisa
mm niliomba lakn cjui kama aplcatn ilifika manake cjapata jibu
 
mimi niliomba custom officer mwezi wa 4 tarehe moja lakini mpaka leo hawajajibu....ss fikiria ww utaitwa lini
 
TRA kweli hatari yaani badala ya kutoa mrejesho wa kazi walizo toa toka mwezi wa nne.Wao bado wanazidi kushindilia tu nafasi nyingine,ili hali hatima ya nafasi zilizopita bado ni tete na full kizungumkuti na wameme wameme!
 
haha unachekesha kweli nyie ndio wale matomaso....eti sikukuu ya wajinga wakati tangazo lilikaa wk mbili
 
Back
Top Bottom