K kwedizinga Member Joined Feb 26, 2013 Posts 9 Reaction score 0 Feb 20, 2014 #1 Wakuu za jioni. Naomba kufahamu kama kuna mwanajamvi yoyote mwenye info kuhusu kazi zilizotangazwa na AICC za Estate Officers. Washaita watu for interview?
Wakuu za jioni. Naomba kufahamu kama kuna mwanajamvi yoyote mwenye info kuhusu kazi zilizotangazwa na AICC za Estate Officers. Washaita watu for interview?
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Feb 20, 2014 #2 Hivi zile za security officer sijui ziliishia wapi?