Habari zenu wadau wa Jf,natafuta kazi ya udereva wa gari iwe private car au gari za biashara mfano;lori,canter,carry,pick up n.k.Nina elimu ya form 4,nina leseni mpya yenye madaraja A,B,D&E,umri wangu miaka 27.Nipo Morogoro town .Ahsanteni Mawasiliano yangu;0768956564 AU 0719271039