Kikusya
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 277
- 389
Wanajamvi, mimi natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa au madogo si za abiria. Nina leseni ya magari magari ya mizigo lakini toka nimalize chuo cha udereva huu kazi bado sijapata.
nina umri wa miaka 37. Sinywi kelevi wala sivuti sigara au mengine. Ahsanteni
nina umri wa miaka 37. Sinywi kelevi wala sivuti sigara au mengine. Ahsanteni