Dogo unaomba msaada halafu unaleta hasira? After all umeshasema wewe ni mvulana, mvulana anaweza kufundisha kweli, si bado unatakiwa uwe shule wewe unasoma?
Ndugu yangu nakushauri:kama unataka kufundisha tempo nenda moja kwa moja katika shule zetu za kata uwasilishe maombi yako utapata kazi kwa kuwa zina upungufu wa walimu katika masomo mbalimbali.asalamalykum