Dada naomba hii kazi, nimemaliza chuo sina kazi,,am a teacher by professional ( English & kiswahili)Za leo wanandugu! natafuta watu wawili wa kufanya translation, kutoka kingereza kwenda kiswahili, (sio kingereza kigumu). malipo ni 3000 kwa page. Naomba ujue kuandika kiswahili fasaha na nitakutumia page moja ili kuona uwezo wako kwanza.
Karibuni PM
Mimi ni consultant by professional na nimekuwa nikifanya hizo kazi; naomba unipe hiyo kazi my phone is 0767028628Za leo wanandugu! natafuta watu wawili wa kufanya translation, kutoka kingereza kwenda kiswahili, (sio kingereza kigumu). malipo ni 3000 kwa page. Naomba ujue kuandika kiswahili fasaha na nitakutumia page moja ili kuona uwezo wako kwanza.
Karibuni PM
Nb: Kwa ambao nitawapata tutaendelea kufanya kazi pamoja, tuna kazi za transcription pia
Nimekutumia message
Hi Palsa hii kazi bado ipo ? Naomba email yako pia tufanye kaziAsanteni kwa mliokuja PM.
Nb: Mliotuma email nitajibu siku ya kazi jumatatu, kuweni na subira
Vp ulipata wadau?Naufufua huu uzi! Nahitaji watu 7 kwa ajili ya kazi ya kutafsiri kutoka kiswahili kwenda kingereza. Naomba unitumie email yako kwa sms hapa. Nitakuemail maelezo mengine! mwisho wa kinitumia PM ni kesho saa sita mchana. Tafdhali uwe na uzoefu na kazi hii.
Hakuna nafasi?Nilipata.