Kazi ya stationary

Kazi ya stationary

viz

Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
21
Reaction score
2
Anahitajika mfanyakazi wa stationary awe na uwezo wa Kutumia microsoft application, internet, uwezo wa kukidhi mahitaji ya wateja kwa kiwango cha juu, awe na elimu ya cheti ya secretarial
Atayekidhi Sifa tajwa hapo juu atume cv na vyeti vyake kupitia allysulemani@gmail.com
 
Kukidhi mahitaji ya wateja kwa kiwango cha juu?

Hafu ni stationery sio stationary.
 
weka mshahara mi nitaacha kazi huku nilipo nije huko
 
Mkuu me nimesomea computer miezi 3 na uzoefu wa kazi ninao nimefanya kwa muda wa mwaka 1. Kama utakuwa interested na mimi napatikana kwny hii namba 0659178134 naishi dom
 
mkuu mimi nimefanya kazi hiyo kwa mwaka minne na uzoefu namba 0716316454 nitashukuru

Mkuu me nimesomea computer miezi 3 na uzoefu wa kazi ninao nimefanya kwa muda wa mwaka 1. Kama utakuwa interested na mimi napatikana kwny hii namba 0659178134 naishi dom

mshaambiwa mtume CV nyie busy kuweka Namba zenu hapa..
 
Back
Top Bottom