kazi ya ndani

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
36,507
Reaction score
45,129
Jina: Zaituni
Kabla: Mzigua
Umri: 17
Elimu: Darasa la Saba
Tabia: Napenda kulea watoto, mpole sina majivuno; sipendi umbeya ni mchapa kazi sina tabia a kuchagua kazi. Pia napenda kujiendeleza ki elimu.
Sina simu na sipendi kuwa nayo. Kama ukinihitaji wasiliana na msamalia mwema anayenilea kwa sasa5.


Anatafuta kazi za ndani hapa Dar, Mshahara wa kuanzia 50,000. Kazi iwe ya kulala hapo hapo.


Hapa Zaituni akiwa nyumbani kwa msamalia mwema aliyempokea maeneo ya magomeni akiwa akishiriki kazi za usafi.

Hata kwa ma singles yupo tayari kufanya kazi cha msingi tu mshahara alipwe kwa muda muafaka.

 
Nishawahi kupanga nyumba moja asbuh ukiamka bomba lipo kwa nyuma limejificha kuna dada mmoja alikua na vituko atajiinamisha hapo mara afunge kanga vizuri ila moyoni nilijiapiza ctakuja kumshobokea huyu mwanamke
 
Masai wa kigoma akiona unatumia cover photo yake ya wimbo wa "Sinasi" kulaghai watu utamwambia nini?
 
Akipata ajira tuambieni na siye tuajiliwe
Nikiwa mfuga ngombe tu inatosha
 
Karucee mpe kazi zaituni,wala usiogope chochote.
Na wala usihofie kuwa bae wako atachukuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…