C clearmind JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 812 Reaction score 1,924 Apr 25, 2014 #1 naomba penye shule yeyote palipo na uhitaji wa mwalimu wa chem. na biol. anitafute kwa namba 0757312093 nahitaji mkataba wa mwaka mmoja. Nina BSc.Ed-udsm 2010/2013. Unaweza kunitumia sms nikakutafuta maana eneo nililopo mtandao ni tatizo. Asante!
naomba penye shule yeyote palipo na uhitaji wa mwalimu wa chem. na biol. anitafute kwa namba 0757312093 nahitaji mkataba wa mwaka mmoja. Nina BSc.Ed-udsm 2010/2013. Unaweza kunitumia sms nikakutafuta maana eneo nililopo mtandao ni tatizo. Asante!