kazi ya ku volunteer

Duly zura

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
411
Reaction score
37
Habari zenu wanajamvi. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Institute of Accountancy Arusha (IAA) nachkua course ya Bachelor of Economics and Finance (BEF).Muda wa likizo ndo unaanza hivyo nlikua nahitaj kazi YOYOTE ile ya kujitolea tu bila malipo katika shirika lolote lile
NOTE: ''YOYOTE''
Asanteni sana
CONTACT:0714478797
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…