Mteule halisi
Senior Member
- Oct 21, 2014
- 197
- 98
Ungana na mimi leo nabase na viwanda vya pugu road.Habari zenu,
Ni kiwanda gani kinachopokea vibarua bila masharti magumu kwa hapa Dar es salaam? Msaada tafadhali.
Ungana na mimi leo nabase na viwanda vya pugu road.
Upande gani nipo maeneo ya Blue Sphere HotelNipo pugu load boss naweza pata muongozo wako
Nipe muongozo mkuuUngana na mimi leo nabase na viwanda vya pugu road.
Upatikanaji wake ni rahisi sio mpaka upeleke maombi ya kazi usubili kuitwa, yaani ukifika asubuhi unapiga kazi'Bila masharti magumu' ina maana ipi..? Bila elimu?
Load-road apo ushaleta maana nyngne wabantu bhnaNipo pugu load boss naweza pata muongozo wako
SijafungaOctober man fungua PM mkuu.
Ni-PM tafadhal maan nashindwa kuanza conversation cjui tatzo nn.October Man said:Sijafunga