Kazi ya kibarua viwandani

Kazi ya kibarua viwandani

Mteule halisi

Senior Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
197
Reaction score
98
Habari zenu,

Ni kiwanda gani kinachopokea vibarua bila masharti magumu kwa hapa Dar es salaam? Msaada tafadhali.
 
Unanikumbusha mbalii.
Nilikuwa nafanya kibarua pale kiwanda cha korie pale mikocheni kwa siku sh 5,400.
Kula na usafiri ni juu yako
 
Sh 5,400 inaonekana ni ndogo, lakini siku ukiikosa unajuta kwanini hujaenda kazini ukaipate hata hiyo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom